IQNA-Wananchi wa Iran wa matabaka mbalimbali wameshiriki katika marasimu mbalimbali ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 37 tangu kufariki dunia Imam Ruhullah Musavi Khomeini (M.A) Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482321 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/04
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika imani ya Kiislamu, Barzakh ni jukwaa baina ya dunia na akhera ambalo linatutayarisha kutoka kwenye hatua ya dunia hii tuliyopo hadi dunia ijayo.
Habari ID: 3475865 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01